Anatolia Enterprises Limited ilianzishwa mwaka 1985 UTuruki. Tulipanua Huduma zetu nje ya Uturuki kwa kufungua matawi yetu nchi za Iran (1990), Uganda ( 2004), Rwanda (2003), and Tanzania (2009), na sasa tunaongoza kwa uzalishaji wa samani za nyumbani na maofisini kwa Afrika mashariki na nchi za Persia. Tuna wafanyakazi wengi wenye ujuzi mkubwa kutoka Ulaya na Afrika mashariki. Kampuni yetu tanzu ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usambazaji wa samani kwa Uturuki na Iran. Bidhaa zetu zimepata mauzo makubwa pia Ulaya na mashariki ya kati n.k..
|
|